WaZanzibari haya mambo wawaachie wa bara...Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Ayoub Mohammed Mahmoud amepiga marufuku ya upigwaji wa ngoma za vigodoro pamoja ngoma ya kanga moja maarufu kama Kanga Moko katika Mkoa huo.
Ayoub amesema kumekuwa na kawaida kwa Wananchi kutoka katika maeneo mbalimbali ya Zanzibar kuja katika Mkoa wa Kaskazini na kuja kucheza ngoma na starehe.
"Sio ruhusa kwa Wakazi wa Mkoa wa Kaskazini na Wananchi wanaokuja kutoka sehemu mbalimbali kuja kupiga ngoma na kucheza vigodoro na kanga moja "kanga moko"
Ameyasema haya wakati akitoa taarifa kwa Waandishi kuhusu muelekeo wa Mkoa wa Kaskazini Unguja kwenye miaka mitano ijayo Ofisini kwake Mkokotoni, Mkoa wa Kaskazini Unguja. View attachment 1722129View attachment 1722130
Niisema hawa mambo yao waachiwe wenyewe..Msemaji wa Simba SC. HajisManara na Mtangazaji Maulid Kitenge wamemaliza tofauti zao zilizotokea hivi karibuni, wote kwa pamoja wamethibitisha kumaliza tofauti hizo wakisimamiwa na Baba wa Hajis, Mzee Sunday Manara.
“Sehemu yoyote ile yenye Wazee basi huwa mambo yanaenda sawasawa na hii yote ni kwasababu wao ndio Walimu wetu wakuu hasa katika maadili, Wazee wetu wameona si jambo jema vijana wao tukosane tena hadharani wakae kimya” ——— Kitenge.
“Leo kimefanyika kikao kizuri chini ya Baba yetu Sunday Manara na Mwenyekiti wa Simba Murtaza Mangungu na sasa najisikia amani kusema kwamba kikao kimefanikiwa kuzikata "TOFAUTI ZETU", tumerudi kuwa marafiki wazuri kama ilivyokuwa zaman” View attachment 1722137View attachment 1722138
Hayo mambo ya kanga moko laki si pesa unayajua etiWaZanzibari haya mambo wawaachie wa bara...
WaZanzibari yao Taarab...Hayo mambo ya kanga moko laki si pesa unayajua eti
HahahhaWaZanzibari yao Taarab...
iinye ndembe ndembe khanga moko laki si pesa million ya vocha...
Nayasikia tu... sometimes unaweza kua barabarani ukashangaa coster inapita aibu tupu...
🤐 Nilikua napita nje tu... 😅Hahahha
Enzi za maisha club haujawahi kweli kwenda hata siku moja kuchungulia kweli
HahahhaNilikua napita nje tu...
Ndani noma ukiingia...Hahahha
Ungekuwa unaingia bwana kuchungulia tu kidogo kila jumatano
HahhahaaNdani noma ukiingia...
Unaweza ukajikuta unatoka nje week ishapita kumbe...
Noma sana...Hahhahaa
Na ukiingia kama upo peke yako unazingirwa na madada na makaka poa kazi kwako sasa
Bills kulikuwa na ustaarabu kiasi chakeNoma sana...
Kheri kwa mbowe ila ndiyo wamepavunja sasa...
Ustaarabu mkubwa tu...Bills kulikuwa na ustaarabu kiasi chake