Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,773
- 50,267
Kule Mtaa wetu ulishahama!!??Nipo mkuu napatikana sana huku makapuku karibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kule Mtaa wetu ulishahama!!??Nipo mkuu napatikana sana huku makapuku karibu
Wapi uko
Sijaingia mda sana uko siku nyingine huwa napita nasoma tu kimyakimya
Umechefukwa!!!Sijaingia mda sana uko siku nyingine huwa napita nasoma tu kimyakimya
Hahaha hamna bwana
Hahaha msalimie sana mdogo wakoMdogo wangu huyo baba wawili
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] niko nae apa baba wawili zimefikaHahaha msalimie sana mdogo wako
unajitekenya halafu unacheka mwenyewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] niko nae apa baba wawili zimefika
[emoji23][emoji23] Usifunge mjadala bro.Hiyo ni mboga mkuu nimefunga mjadala.
Una nini leo Shunie [emoji23]Chomeka chomoa, mwenzako nawashwa shwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndugu zake tupo wengi sana,hata mimi ni ndugu yake pia😄😄😄Mimi ndugu yako mjomba, kuwa na amani, nakuwekea mazingira sawa
Nimempora mpenzi wake mpyaJamani mimi nimeshatoka uko niko na maisha yangu hivi na wewe si uko na maisha yako na mahusiano yako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unajitekenya halafu unacheka mwenyewe
Kwa nini jamani moudUna nini leo Shunie [emoji23]
Mimi hainihusuNimempora mpenzi wake mpya
Yatakuhusu tuuu ngoja niingie kazini!Mimi hainihusu
Alah kumbe,sema huyu ndugu yetu akibanwa na mambo ndio anatukumbuka, acha apambane safari hii[emoji2]Ndugu zake tupo wengi sana,hata mimi ni ndugu yake pia[emoji1][emoji1][emoji1]