Asante na kwako piaLa familiaa muwe na mwezi mzuri wa feb
Tuwe makini na corona
Wenye bebez wanafaidiKumepooza humu leo watu mmetekwa na bebez [emoji2369]
Nilionaaa unatuzaaa ,pedesheeeeeee shunieeHivi huwa najikutaga nani shunie mimi kwenye mchezo pesa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wajina ulimfanyiaa vzuriiiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani hata nikiamka sina mia
Mm naelewaaaJamani sio lazima muelewe nipo nanena kwa lugha mwenyewe [emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Nakuwaga boss lady ghafla kwenye mchezo pesa [emoji383][emoji383][emoji383][emoji383]Nilionaaa unatuzaaa ,pedesheeeeeee shuniee
Kiasi chakeWajina ulimfanyiaa vzuriiiii
Kama hauna kumbatia mitoWenye bebez wanafaidi