Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,729
Huyu wala siyo mgeni,kila kona ya JF hii yumo.Hapa amekuja ili tu adekezwe na wenyeji wa hapa.usimsumbueee mgeni wetu mkuu, ukikataliwaa kubari
Huyu wala siyo mgeni,kila kona ya JF hii yumo.Hapa amekuja ili tu adekezwe na wenyeji wa hapa.usimsumbueee mgeni wetu mkuu, ukikataliwaa kubari
Najua sio mgeni wa jf ...ila kwa hapa ndo kaamua kupata mahaba ya kapukuHuyu wala siyo mgeni,kila kona ya JF hii yumo.Hapa amekuja ili tu adekezwe na wenyeji wa hapa.
Ngoja kidogo nikampe kwanza mahaba yule babe wangu niliemuiba hapa!😄😄😄Najua sio mgeni wa jf ...ila kwa hapa ndo kaamua kupata mahaba ya kapuku
na wewe atakubwagaaa hahahahhahahahahahah mimi sina changu mkuu , mtoto mlito alishasema sitodumu wikiNgoja kidogo nikampe kwanza mahaba yule babe wangu niliemuiba hapa!😄😄😄
haiwezi kuwa kweli walahiiiii......anko, nipo pale uliponiacha
Ha hahahaha, ada na kodi zimelipwa na bado naendelea kukopa.kuonekana tu jamvini ishara tosha kuwa january ishaishaa na mchepuko wako wa kivulini gest house ushampatia simu yake Obe
ankoo hapo ndo huwa sikuelewii , wewe si ndo wa kwanza kunambia kwa kuwa mtoto mlito shangazi yako mpendwa amepata ampendae niangalie utaratibu mwingine na hapo ulitajka ABJ unikutanishe naye kwa kuwa wewe umekuwa ukimsaliti mchana kweupe , leo hii unajifanya hujui .... kweli ndo maana mda mwingine nina uwasiwasi ana uankoo wakoo kwanguHa hahahaha, ada na kodi zimelipwa na bado naendelea kukopa.
Anko mbona hujanialika kwenye hii issue yaani nimesikia tu kwa moudgulf kuwa umeachana na cheupe dawa umevuta goma la utete
kwani kasema uongo au ukweli
Kwema mkuuSalaam
ankoo hapo ndo huwa sikuelewii , wewe si ndo wa kwanza kunambia kwa kuwa mtoto mlito shangazi yako mpendwa amepata ampendae niangalie utaratibu mwingine na hapo ulitajka ABJ unikutanishe naye kwa kuwa wewe umekuwa ukimsaliti mchana kweupe , leo hii unajifanya hujui .... kweli ndo maana mda mwingine nina uwasiwasi ana uankoo wakoo kwangu
@BlessedHope....usiwe makini na mimi, kuwa makini na mama yenu mwanamaombi
na yuko makiniii haswaaa , hongeraaa sanaa
@BlessedHope