Leo taifa starz tupeni raha
Huyu ametuharibia timu
Madaraka ya kulevya
Good morning LeeGood morning
Tunamshukuru Mungu tuko poa..Morning boss lady...
Kumekuchaa salama huko ?
Asante sanaSisi wazima kabisa karibu kwenye familia yetu hii pendwa

HahahahaIla uwe makini na Nigendako huwa anawasumbua wageni
Mzee wa chura huyo Behaviourist najua ushamzoea tabia zake







Hahahah!

Ana chura?Ila uwe makini na Nigendako huwa anawasumbua wageni
Mzee wa chura huyo Behaviourist najua ushamzoea tabia zake
Kule likes mtata SanaHuku uwa anajifanya mkarimu nisijue ukikutana nae viwanja vingne


Sijajua ila hawez kosaAna chura?
Sina kabisaAna chura?

usimsumbueee mgeni wetu mkuu, ukikataliwaa kubariNilikuomba uwe mdogo wangu wa hiari ukakataa,sasa nitakuzodoa hadi ukome!