Hahahahahahahahaa kama nakuonaa voice notes na yale malalamiko ya kukuvurugaaMimi huyu kila la heri mpenzi tena nitamwita wifi
Na kweli wewe ni kivurugeeeeeUsiseme uliyenipenda sema na hautapata kivuruge kama mimi
Hapana kivuruge ni wewe bwana usinitoe nje ya reliNa kweli wewe ni kivurugeeeee
Hahahahahahahahaa kama nakuonaa voice notes na yale malalamiko ya kukuvurugaa
Hahahahahahahahahah mm mbona sijamwambiaa baby wako mpyaa kuwa ukikasirikaaa unafunga mlango hutak akuoneenaanzaje jamani nitamkaribisha wifi yangu vizuri sana
Nitamwambia wifi huyu mtu mpende kama alivyo yeye na tabia zake kama utaziweza kuzivumila utakuwa wifi yangu wa taifa
Haahaaahahhahaha usitake kunitoaa kwenye reliiiiiiiii ni weweHapana kivuruge ni wewe bwana usinitoe nje ya reli
Hahahahahahaha kumbe ni yeye nakutana na likes nikajua ushanitumia wifiYna2 bwana sasa ndio nini tena na kubadili I'd najiuliza huyu nani tena ananipa likes kumbe kibonge mwenzangu
Hahahahahahahahahah mm mbona sijamwambiaa baby wako mpyaa kuwa ukikasirikaaa unafunga mlango hutak akuonee
Namuoneaaa hurumaaaaa
Hahahahahahaha kumbe ni yeye nakutana na likes nikajua ushanitumia wifi
Hahahahahahahaha utasikiaa kiukwelii niachee kwa sasa niachee jaman na maisha yangu
Block & unblock hizo hazikwepeki lazima zihusikenimecheka sana
Usinizibieee na wewe ex wangu jaman....Huku jf hawatakuweza yaani hawatakuweza
Sasa je me nataka stress zaidi, mwenyewe niko na mastress yangu lundo halafu tena uje uniongezee stress zangu niache na maisha yangu endelea na maisha yakoHahahahahahahaha utasikiaa kiukwelii niachee kwa sasa niachee jaman na maisha yangu
Nampaa mieziii hii miwiliiii unamuachaaaa😂😂😂😂😂Sasa je me nataka stress zaidi, mwenyewe niko na mastress yangu lundo halafu tena uje uniongezee stress zangu niache na maisha yangu endelea na maisha yakoili tusionane zaidi na block inakuhusu
Sikuzibii naongea kutokana na uzoefu wangu huku jf hawatakuweza kabisaaa ndani ya mwezi mshaachanaUsinizibieee na wewe ex wangu jaman....
Na ww ukipendwaaa pendekaaaa unaona navoitwaa mkuuu
Hahahahahahahahaha wewe mbona tumedumu miakaaaa na miakaa au mm kukuvumiliaa ndo imesaidiaaSikuzibii naongea kutokana na uzoefu wangu huku jf hawatakuweza kabisaaa ndani ya mwezi mshaachana
Sasa mbona tupo kwenye miezi 6 sasaNampaa mieziii hii miwiliiii unamuachaaaa
Looooooooooh kumbe nilikuwa sahihi ulikuwaa unanicheat ....muoneeeee na mm ntapataaa wala usijaliSasa mbona tupo kwenye miezi 6 sasa
Mimi nilikuwa najua kuishi na weweHahahahahahahahaha wewe mbona tumedumu miakaaaa na miakaa au mm kukuvumiliaa ndo imesaidiaa
Taratibuuuuuuu bhasiii usimwageeee hapa ya moyon ni kwa voice note mbona unajisahauMimi nilikuwa najua kuishi na weweila me jamani nikipenda napenda haswaaa