Makapuku Forum

Makapuku Forum

Asante sana baba wawili jamani nawapenda tu mimi

Anayenichukia aendelee kunichukia tu [emoji1787] me nafurahi na maisha yangu yaani naenjoy sanaaaa
Tunakupenda pia Shunie, hauna baya na mtu..

Hakuna akuchukiaye Shunie!!

Tusambaze upendo kwani maisha ni haya haya tu.
 
Back
Top Bottom