Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,013
Nilijua ulizimiss ndio maaana nimekupostia jamanikitambo aisee, nilizimiss sana pamoja na chupa za kijani
Nyie acheni bwana!! Dah
Heri ya xmass baba wawili wangu
Nilijua ulizimiss ndio maaana nimekupostia jamanikitambo aisee, nilizimiss sana pamoja na chupa za kijani
Nyie acheni bwana!! Dah
Hahhaaaa nimeona asee.. hilo mzungu mweusi limetoka wapi tena mama kunenaAcha ninene zangu kwa lugha mie anajisemeaga huyu mzungu mweusi muha wa kigoma Tom McCarthy
Eeenh baba wawili jamani si ndio Max katutambulisha tuwe tunaitana hiviMkuu tena![]()
Aaah uko juuu juu bwana post za janaMm mzungu???
Sijaona naomba nionyeshe Basi ni wapu
Kweli bwana mzungu wa kigoma wanaonijua wanajua moyo wangu ulivyoHahaaaaaa..
Nimeona mama upako..Aaah uko juuu juu bwana post za jana
Eenh I'd yako ya kizungu
Baba wawili ebu niambie kinachokuchekesha tucheke wote
Naomba niujue nami 😀Kweli bwana mzungu wa kigoma wanaonijua wanajua moyo wangu ulivyo
Hilo jina lako hulioniHahhaaaa nimeona asee.. hilo mzungu mweusi limetoka wapi tena mama kunena
AmeeenNimeona mama upako..
Hilo jina lako hulioni
😌😌😌 Nimeona SasaAmeeen
Asante sana Shunie..Nilijua ulizimiss ndio maaana nimekupostia jamani
Heri ya xmass baba wawili wangu
Hahhaaaa msalimie sakayo
Achana nao huu moyo uache kama ulivyo
Mashairi yako mtoto mlito...Baba wawili ebu niambie kinachokuchekesha tucheke wote
Asante sana baba wawili jamani nawapenda tu mimiAsante sana Shunie..
Christmas iko poa.. Heri ya Xmass pia hapo kwako!!
Endelea kuenjoy!!!
me nafurahi na maisha yangu yaani naenjoy sanaaaa
Asante zimefika nitampa salaamHahhaaaa msalimie sakayo
Hahaha mjombaa atakuwa kayachanganya mwenyewe, huwa haumuit mkuu bwanaEeenh baba wawili jamani si ndio Max katutambulisha tuwe tunaitana hivi
