Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
MagazetiNini??? Mkuu
MagazetiNini??? Mkuu
Pamoja sanaaApo pamoja
Huyo ni chizi freshMJINI SHULE!!
Chizi kaokota elfu kumi Mchaga mmoja aliekuwa anapita zake akamuona:
MCHAGA; Oyaa!!! samahani hicho ni kitambulisho changu!
CHIZI: Wewe hata kama sina akili vzuri hicho sio kitambulisho ni hela wewe.
MCHAGA: Angalia vzur!
CHIZI: Kama kwel ni kitambulish chako wewe unaitwa nani?
MCHAGA; Benki kuu ya Tanzania
CHIZI: Ulizaliwa mwak gan?
MCHAGA: Mwaka 10000
CHIZI: Dah! kweli chako samahani kwa usumbufu...
MCHAGA: Haina noma ukiviona vingine basi unitafute.
CHIZI😛oa
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
MJINI SHULE!!

Tuko poa kabisa sijui wewe?Wakuu mko poa?
Wapi Gadna![]()
![]()
Ndi ndi ndi
.........
Niko salama shemMie mzima shem
Habar ya wewe???
MJINI SHULE!!
Chizi kaokota elfu kumi Mchaga mmoja aliekuwa anapita zake akamuona:
MCHAGA; Oyaa!!! samahani hicho ni kitambulisho changu!
CHIZI: Wewe hata kama sina akili vzuri hicho sio kitambulisho ni hela wewe.
MCHAGA: Angalia vzur!
CHIZI: Kama kwel ni kitambulish chako wewe unaitwa nani?
MCHAGA; Benki kuu ya Tanzania
CHIZI: Ulizaliwa mwak gan?
MCHAGA: Mwaka 10000
CHIZI: Dah! kweli chako samahani kwa usumbufu...
MCHAGA: Haina noma ukiviona vingine basi unitafute.
CHIZI😛oa
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

Jimena maana yake sexy girl,Tuko poa kabisa sijui wewe?
Hapana situmiagi, I'm not cockroach!!!
Pouwaa kabisaa......Wakuu mko poa?
Sikujua kuwa ni me yani nilipopata hiyo taarifa kitu cha kwanza ilikuwa kueditHapana situmiagi, I'm not cockroach!!!
Sina hakika na hiyo tafsiri yako,Jimena maana yake sexy girl,
Mzima dadake!