Mkuu kwanini aombe msamaha??? Kwani sio kweli???sasa naye gadna si aombe tu msamaha yaishe!
kwani kaongea uongo upi Hao nao wanatafuta kick Au mshayasahau ya Beyonce na Jigga baadae ikaonekana walitengeneza skendosasa naye gadna si aombe tu msamaha yaishe!
Niko poa, nina uhakika kwani ni spanish name na hiyo ndo maana yakeSina hakika na hiyo tafsiri yako,
Mi mzima sijui wewe?
Sio rahisi, kwani hakumtaja jinasasa naye gadna si aombe tu msamaha yaishe!
sorry jambilo wewe ni me au ke[emoji4]Niko poa, nina uhakika kwani ni spanish name na hiyo ndo maana yake
Mkuu wewe utakuwa umejiunga majuzi humu, jambilo ni libabasorry jambilo wewe ni me au ke[emoji4]
Mkuu upo Central Africa au mbona jion badoza jioni wadau
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] basi wewe ni Me maana wanawake hawasemagi neno (mkuu).Mkuu wewe utakuwa umejiunga majuzi humu, jambilo ni libaba
[emoji102] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]sorry jambilo wewe ni me au ke[emoji4]
dah kweli aisee, sema huku nilipo duhMkuu upo Central Africa au mbona jion bado
Alasiri
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] basi wewe ni Me maana wanawake hawasemagi neno (mkuu).
kuhusu kujiunga humu juzi si kweli sababu hata kwenye orodha ya makapuku upo chini yangu[emoji4]
Rudi mjini braza.....dah kweli aisee, sema huku nilipo duh
majimbi ndo haswaa ukizingatia ramadan inakaribiaRudi mjini braza.....
Usisahau majimbi
yap mkuu sababu Muanzilishi wa Makapuku Forum the name alisema atawaorodhesha makapuku kila watakapokuwa wanaongezeka[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kwani ile orodha inatambua ulijiunga lini
Makapuku 98% wanafaham jambilo ni me mkuu, avatar ni ya juzi sana, na sababu muhim kuwapo[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] basi wewe ni Me maana wanawake hawasemagi neno (mkuu).
kuhusu kujiunga humu juzi si kweli sababu hata kwenye orodha ya makapuku upo chini yangu[emoji4]
Hata mimi nilifahamu hvyo toka kitambo ila leo nikastaajabu kwa avatar yako.Makapuku 98% wanafaham jambilo ni me mkuu, avatar ni ya juzi sana, na sababu muhim kuwapo
Barca oyeee[emoji471][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] basi wewe ni Me maana wanawake hawasemagi neno (mkuu).
kuhusu kujiunga humu juzi si kweli sababu hata kwenye orodha ya makapuku upo chini yangu[emoji4]