Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mbona mi nasemaga mkuu?? Au na mie ni me??
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] wewe unachapiaga la ziada kipindi cha miaka ya 1961 suruali walivaa wanaume wanawake walivaa sket brauz magauni Pasipo kusahau underskirt ila Karne hii wanawake ni Trouser kwa kwenda mbele japo haiondoi jinsia kuwa watabadilika sababu Miondoko yao inajulikana hvyo hata na we we ukiiga neno mkuu hauwez badilisha lafudhi yako ya Aku, yaani, jamanii mwenzenu. n.k
 
Kuna kampen napiga huku vip kama tunaweza kuanzisha groap la WhatsApp

og aiseew nilijaribu kama ushaur tu vp kama tutaweza kuanzisha groap la whatsApp au vp
wazo zuri ila hapo mwanzo kabla ya Whatsap kujulikana chit chat likikuwa ni jukwaa lililowika saaaana ila baada ya kutokea Wasap akavuruga kila kitu yani kwa siku comment moja au lisichangiwe kabisa Hvyo shukuru Kwa kuanzishwa Makapuku Forum sababu imetuleta pamoja
NI MTIZAMO TU[emoji4]
 
Ni kweli jaman ila ni mtazamo wang tu
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] wewe unachapiaga la ziada kipindi cha miaka ya 1961 suruali walivaa wanaume wanawake walivaa sket brauz magauni Pasipo kusahau underskirt ila Karne hii wanawake ni Trouser kwa kwenda mbele japo haiondoi jinsia kuwa watabadilika sababu Miondoko yao inajulikana hvyo hata na we we ukiiga neno mkuu hauwez badilisha lafudhi yako ya Aku, yaani, jamanii mwenzenu. n.k
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] wewe unachapiaga la ziada kipindi cha miaka ya 1961 suruali walivaa wanaume wanawake walivaa sket brauz magauni Pasipo kusahau underskirt ila Karne hii wanawake ni Trouser kwa kwenda mbele japo haiondoi jinsia kuwa watabadilika sababu Miondoko yao inajulikana hvyo hata na we we ukiiga neno mkuu hauwez badilisha lafudhi yako ya Aku, yaani, jamanii mwenzenu. n.k
Kwani umetumia vigezo gani kuona kuwa mwanamke hapaswi kuita mkuu??
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] wewe unachapiaga la ziada kipindi cha miaka ya 1961 suruali walivaa wanaume wanawake walivaa sket brauz magauni Pasipo kusahau underskirt ila Karne hii wanawake ni Trouser kwa kwenda mbele japo haiondoi jinsia kuwa watabadilika sababu Miondoko yao inajulikana hvyo hata na we we ukiiga neno mkuu hauwez badilisha lafudhi yako ya Aku, yaani, jamanii mwenzenu. n.k
YOU MAKE ME HAPPY
 
Back
Top Bottom