Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,077
- 464,004
Nalima mahindi, mchele na mpungaMwenyewe dada
Nalima mahindi, mchele na mpungaMwenyewe dada
Uko shambani kwangu iringa
Unalima wapi eti jamani
Asante sana shunie.. Nipo naendelea na mfungo huku tukipambana na mgeni wetu, hali ni mbaya shunie..Baba wawili najua upo kwenye mfungo Mungu akufanyie wepesi kwenye funga yako![]()
Aisee, akiwa mpole hanogi kumbeOooh
Mimi naonaga mwanaume kidogo akiwa mbabe inanoga
Nakumiss pia shunie..Baba wawili jamani nakumiss mimi![]()
Kabisaa jamaniAisee, akiwa mpole hanogi kumbe
WoyooooooUko shambani kwangu iringa
AiseeKabisaa jamani
HahahaahAisee
Hahahah aisee, haya dadaHahahaah
Mwanaume anigombeze hata kidogo jamani nikikosea!
Hujambo lakiniiiHahahah aisee, haya dada
Hali ni mbaya baba wawili kikubwa kujikinga nimefurahi sana kukuonaAsante sana shunie.. Nipo naendelea na mfungo huku tukipambana na mgeni wetu, hali ni mbaya shunie..
Aisee, akiwa mpole hanogi kumbe


Kama uko mpole inabidi uwe mbabe sasa
Niko poa kabisa baba wawili hofu kwako tu nilikumiss sanaNakumiss pia shunie..
Mambo Shunie? U mzima wewe?
Ebu ukooooWoyoooooo
Sijambo, habari ya uzima? Weeekend yako iko vp hapo?Hujambo lakiniii
Ebu ukoooo
Hujambo lakiniii
Asante sana shunie, nmefurahi kukuona pia.. Tufurahi pamojaHali ni mbaya baba wawili kikubwa kujikinga nimefurahi sana kukuona