Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
MjombaaaaAsante sana shunie, nmefurahi kukuona pia.. Tufurahi pamoja
MjombaaaaAsante sana shunie, nmefurahi kukuona pia.. Tufurahi pamoja
Ameen baba wawili usipotee sana ujue na hili gonjwa mtu akipotea tunaogopa nakupendaAsante sana shunie, nmefurahi kukuona pia.. Tufurahi pamoja
[emoji23][emoji23][emoji23] wapi wanatoa hilo darasa la kuwa mbabe?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kama uko mpole inabidi uwe mbabe sasa
Mimi sijambo shunie, nilikumiss piaNiko poa kabisa baba wawili hofu kwako tu nilikumiss sana
Mjombaa mjombaa.. Kwema aisee?Mjombaaaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hakuna darasa la hivyo hiko ni kipaji we fokafoka tu ukiwa unachat na mbebez uwe mtu wa kupanick kidogo tu hutaki matani woiiii mbona umeshakuwa mbabe tayari[emoji23][emoji23][emoji23] wapi wanatoa hilo darasa la kuwa mbabe?
Karibu sana baba wawili ulinifanya niingie likes kimyakimya kukutafuta sikuoniMimi sijambo shunie, nilikumiss pia
Jaman shunie.. Maneno mazito haya,yamenipa faraja sana..asante shunie nitakuwepo sana.. Nakupenda piaAmeen baba wawili usipotee sana ujue na hili gonjwa mtu akipotea tunaogopa nakupenda
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] Mungu azidi kutuweka tu baba wawiliJaman shunie.. Maneno mazito haya,yamenipa faraja sana..asante shunie nitakuwepo sana.. Nakupenda pia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee shunie,[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hakuna darasa la hivyo hiko ni kipaji we fokafoka tu ukiwa unachat na mbebez uwe mtu wa kupanick kidogo tu hutaki matani woiiii mbona umeshakuwa mbabe tayari
Hahahha kweli bwana we jaribu ukuje kunipa mrejesho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee shunie,
Hahaha aisee, nipo shunie, mambo tu yalibanaKaribu sana baba wawili ulinifanya niingie likes kimyakimya kukutafuta sikuoni
Amin shunie[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] Mungu azidi kutuweka tu baba wawili
Hahahah sawa sawa mwalimHahahha kweli bwana we jaribu ukuje kunipa mrejesho
Pole sana kwa majukumu baba wawiliHahaha aisee, nipo shunie, mambo tu yalibana
Hahaha eti mwalimuHahahah sawa sawa mwalim
Telemundo kanidiiiipuuuuuKule kwa telemundo wake, haonekani kwani?
Majukum tumeumbiwa shunie, asante sanaPole sana kwa majukumu baba wawili