Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mimi nafikir kwa sasa hayuko moto kama mwanzo kipind yupo na Brown ila sasa limebaki jina kiufup angekuwa Bongo angekuwa hana tofaut na dudubaya
Hahahahaha kweli umemchoka, mi naona baada ya kuachana na Chris akang'ara zaidi.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Hahahahaha kweli umemchoka, mi naona baada ya kuachana na Chris akang'ara zaidi.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] labda Google ndio imemchoka kwa sasa nikianza kuandika Rihanna maneno yanakuja automatic
Rihanna Sex Tape
ila mwanzo nilikuwa nikiandika Rihanna naletewa
Rihanna live show
Rihanna umbrella
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] labda, mi namuona yupo hot bado .
 
Mmmh
PNC 1 kwenye mziki ni mbovu mweer!!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mkuu hizi ni fani za watu ndio mana nikamwambia yule jamaa aseme bungeni atoe picha ya askar aweke ya Diamond[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Love on the brain, kiss is better, work and etc.
Okei, ila nyimbo zake ziko kama anarudia rudia za zamani hivi, kwa mfano hiyo work, ni mpya ila ktk masikio yangu naifananisha na track yake moja hivi alikuwa ktk video amevaa kama vazi la pundamilia/ chui hivi.
Naona baadhi ya nyimbo zake anamiks zake za zamani na kupata mpya! Ila anajitahidi.
 
Sidhani kama ni kweli, mimi zote naziona mpya.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mkuu hizi ni fani za watu ndio mana nikamwambia yule jamaa aseme bungeni atoe picha ya askar aweke ya Diamond[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaha

Aaah mkuu wewe tujibakie football
Huko, tutakuwa kama mbunge yule
 
Back
Top Bottom