Makapuku Forum

Makapuku Forum

Okei, ila nyimbo zake ziko kama anarudia rudia za zamani hivi, kwa mfano hiyo work, ni mpya ila ktk masikio yangu naifananisha na track yake moja hivi alikuwa ktk video amevaa kama vazi la pundamilia/ chui hivi.
Naona baadhi ya nyimbo zake anamiks zake za zamani na kupata mpya! Ila anajitahidi.
Mkuu mi nimesikiliza album zote za rihanna sijaona kama anarudia-rudia... sana sana naona ana sauti flani ya kipekee na kila track anayotoa inakua hitsong, ila hyo work ni kweli inataka kufanana melody kidogo na rude boy
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom