Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
We jamaa uko vzuri kwa kweliKaanza kucheza lini messi na ronaldo kaanza kucheza la liga lini??
Alafu unajua licha ya miaka ya karibuni barca kuchukua ndoo sana ya la liga, ndo kwanza wako 24, real madrid wako 32. Maana yake barca ni katimu ka siku hizi!
P.S: mimi messi namkubali pia.
Japo uko arsenal, kweli wenger mashabiki kama nyie hawatendei haki