[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jifunze kitu picha ya chini halafu niambie nani anatisha
Ni kweli anatisha sababu Penado ana ndege yake ila King hana na hyo ndege ya penado ndiyo inayompeleka kwa Bondia mpiga mateke huku Africa[emoji1] [emoji1]Jamaa ana tsha PNC 1 atak kukubali
Kausingizi hamnaLizziebettie hulali bibie[emoji1]
Nakusalim piaLizziebettie popte ulipo
Nakusalim
Na ucku mwema
AaahNi kweli anatisha sababu Penado ana ndege yake ila King hana na hyo ndege ya penado ndiyo inayompeleka kwa Bondia mpiga mateke huku Africa[emoji1] [emoji1]
Asante [emoji120]Nakusalim pia
Usiku mwema pia.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ok kamata smartphone yako sijui ni TECNO ama Samsung ama HUAWEI au IPhone ama HTC au ajo Motorola au Lumia n.k na usibanduke ndani ya hii forumKausingizi hamna
Hana hadhi ya kushabikia Barcelona huyo ni Arse8
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] okay[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ok kamata smartphone yako sijui ni TECNO ama Samsung ama HUAWEI au IPhone ama HTC au ajo Motorola au Lumia n.k na usibanduke ndani ya hii forum
OkayAsante [emoji120]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Barcelona alipigwa wiki on AggregateKumbukumbu za juzi tu zinaonyesha barca alipigwa WIKI on aggregate na The Bavarians, whiping boyz wa ulaya hao siku hizi.
unaonekana hupendi soka Dawa ya usingizi mnono hamia Fc BarcelonaOkay
Siupendi hata kidogo.unaonekana hupendi soka Dawa ya usingizi mnono hamia Fc Barcelona
Eb waache hao wameshika nafas ya pili EPL[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Barcelona alipigwa wiki on Aggregate
kumbe kumfunga Barcelona Zaid ya 5 lazma ujumlishe mechi 2 VIP nyie mlikula 8 mechi 1 nikijumlisha mechi mbili si zitafika 15+
Tottenham alishavurugwa tangu draw na west brom hvo Arse8 kukamata ya pili nilitegemeaEb waache hao wameshika nafas ya pili EPL
Uwe mwangalifu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jifunze kitu picha ya chini halafu niambie nani anatishaView attachment 348001
8-2.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Barcelona alipigwa wiki on Aggregate
kumbe kumfunga Barcelona Zaid ya 5 lazma ujumlishe mechi 2 VIP nyie mlikula 8 mechi 1 nikijumlisha mechi mbili si zitafika 15+
Na rihanna pia bila kumsahau Jlo[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Nahisi utakuwa wapenda Music na sitoshangaa kama Chris Brown au jay z na beyonce wakiawa mojawapo ya wasanii unaowazimia