PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,105
- 14,356
hapo umemaliza mkuu[emoji122] [emoji122]Ali kiba ni fundi kama messi ila diamond ana juhudi kama ronaldo... Ndo tofauti zao
hapo umemaliza mkuu[emoji122] [emoji122]Ali kiba ni fundi kama messi ila diamond ana juhudi kama ronaldo... Ndo tofauti zao
Mmh na kujisifu kote kule huwez lala mi nkajua ndo ntakutakia usiku mwemaDuuuuuuh Makapuku wote muwe na Usiku mwemaaa
mkuu habar za music huziwez hebu kalaleJaman mondi kimafanikio kamuacha mbali kiba
Ila kiba ana saut nzuri, ambayo kashndwa kuifania bussiness
Ila ni bora kuwa diamond kwa sasa, yuko juu
Nalala sasa nsha aga sana umu
Wewe ulale sasaDuuuuuuh Makapuku wote muwe na Usiku mwemaaa
Poa kamanda.. NiteJaman mondi kimafanikio kamuacha mbali kiba
Ila kiba ana saut nzuri, ambayo kashndwa kuifania bussiness
Ila ni bora kuwa diamond kwa sasa, yuko juu
Nalala sasa nsha aga sana umu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]mkuu habar za music huziwez hebu kalale
Hivi mkuu sijakosa chochote kuhusiana na hiyo avatar yako mpya? mana nilipotea kidogo humuLete habari
Ndoto njema kiongoziDuuuuuuh Makapuku wote muwe na Usiku mwemaaa
Shem hujalala tuUmenishangaza tu
Nami pia, ntu ya ng'ambohabari ni njema mkuu nimefurahika kukuona
pole[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi mkuu sijakosa chochote kuhusiana na hiyo avatar yako mpya? mana nilipotea kidogo humu
Poa kamanda.. Nite
Au ndo picha ya shemeji yetu Patience123?pole[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni jengo la shule hilo unadesign?