Mpaka uweke bango ni kwamba umekosa kabisa au sijui inakuwaje na watu huku wanazama pm moja kwa mojaAhahahah Aaaahhh me nlijua upo Serious
Hata hao wanaowek tunaishi nao
ila me naamini Wat kama Mimi ndio tunaweza kuweka Bango huku JF
I'm on that good kush and alcohol
Bwana bwana smart nina miaka 4 jf najua ninachoongea uongo humu mwingi sana kuliko ukweli
Yeah amekosa kabisa ndio mana weng wanaoweka umri umeenda 28+Mpaka uweke bango ni kwamba umekosa kabisa au sijui inakuwaje na watu huku wanazama pm moja kwa moja
Sasa mtu kama wewe inabidi umwage pesa tuuu sawa nakupa mbinu halafu ujiaminiYeah amekosa kabisa ndio mana weng wanaoweka umri umeenda 28+
Kwa wanaume Kuongea ndio tatizo kubwa
Me binafsi siwez ongea na mdada nisie mjua Sana Sana Salam bas, Mdomo unakua mzito kweli Aisee
I'm on that good kush and alcohol
Smart uko na nini bwana kwamba nikuhesabie toka nipo kabinti special na sasa hivi nimeshakuwa bibi
Ntakua Kama Nanunua Penzi hivi hahahahh. Okay sawa madame ntajiaminiSasa mtu kama wewe inabidi umwage pesa tuuu sawa nakupa mbinu halafu ujiamini
Smart911 acha kutuharibia tulio single bro.Kwa hiyo wataka kusema ridhiki ni mafungu 7... na ushakula yote 7 bila kuacha akiba...
Usitafute baki nae huyo huyo... or else watakukula kimasihara...
Cc: mahondaw
Smart911 acha kutuharibia tulio single bro.
Mlango ulishafunguliwa kwajili ya wengine mbona unataka kuufunga tena ?
Chill brother.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh basi bora nibaki na umbumbumbu wangumambumbumbu yaani hamna akili
I believe ya babeHuamini eti babe
Ahsante, tuko pamojaUsijali kabisaa jamani mzee ake Shunie
PamojaUsijali kabisaa jamani mzee ake Shunie, tuazingua tuu! Kuwa na amani