Makapuku Forum

Mimi Sijaoa bwanaa

Hivi Kwanini walete usumbufu kwa mrembo Kama Wewe (avatar tuu inaonesha) hawajui Wewe ni precious metal to keep hahahh
Nyie mliooa ndio tunawataka watu wazima wenzetu ambao hawajaoa kusumbuana tu utoti mwingi

I'm on that good kush and alcohol
 
Hiyo avatar sifanani nayo hata kidogo niliiba tu kwa picha za watu
Ahaaa Oohky ,
ikitokea umeweka hilo tangazo la Mume Mimi Sita sita kuzama kwenye hicho kinyang'anyiro

Pole though kwa ku-break Up

I'm on that good kush and alcohol
 
Kwa hiyo wataka kusema ridhiki ni mafungu 7... na ushakula yote 7 bila kuacha akiba...

Usitafute baki nae huyo huyo... or else watakukula kimasihara...



Cc: mahondaw
Smart bwana mimi kuachika nitake mwenyewe apa tunachangamsha makapuku hivi naanzaje kuweka thread mke wa mtu mie na wajukuu juu
 
Siko serious bwana
chit chat hii nawekaje bango na mtaani wamejaa
Ahahahah Aaaahhh me nlijua upo Serious
Hata hao wanaowek tunaishi nao

ila me naamini Wat kama Mimi ndio tunaweza kuweka Bango huku JF




I'm on that good kush and alcohol
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…