Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ni ngumu sana kuishi na mtu mwenye tabia ya kiburi kila siku mtakuwa mnagombana sababu ya kiburi chake na kujiona kwake

Kama umeshaambiwa na watu wako wa karibu una tabia hizi jitahidi kubadilika kiburi sio kizuri

Ni hao nitakapooneshwa tena maono ya kuongelea kitu kingine
 
20200407_051523.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom