Hawezi kukumbuka jinsi nilivyomuokoa kwenye ule msala.......anko, njia unayotumia kumfikia Hellena utakuwa huifikii ujue.
Umesahau uluvyookolewa na binamu ningendako ulipofumaniwa na kile kibinti cha fomutuu
I miss you mtt mlito[emoji1787][emoji1787] Wanaume wa kibongo kama nawaona wanatamani hili Kabila lingekuwa hukuView attachment 1409104
Miss u too baba wawili [emoji8][emoji8][emoji8] naona hatimaye umeachiwa nywilaI miss you mtt mlito
[emoji8]mtt mritoMiss u too baba wawili [emoji8][emoji8][emoji8] naona hatimaye umeachiwa nywila
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mjomba ako alinibadilishia nywila baba wawili ili nisiingie humu[emoji8]mtt mrito
[emoji16][emoji16]mimi mbona nipo shunie, wewe ndio ulikuwa umetekwa, umesababisha tukose magazet ya mjombaa
Nilimweka korokoroni kwa kosa la kuninyima kuwa family friend wao!I miss you mtt mlito
[emoji1787][emoji1787] Wanaume wa kibongo kama nawaona wanatamani hili Kabila lingekuwa hukuView attachment 1409104
Namtafuta Husna![emoji4][emoji4][emoji4]
Kwema sana binamu na asante kunijulia hali. Naamini ulikuwa na weekend nzuri.Hawezi kukumbuka jinsi nilivyomuokoa kwenye ule msala..
Kwema binamu?
Nikiwa mkubwa na mimi nitaoa wake wawili kama wewe apo![emoji4][emoji4][emoji4]....yupo, hajambo kabisa. Simu yake nimeipeleka kwa fundi ..
Una Jipya!?
Nikiwa mkubwa na mimi nitaoa wake wawili kama wewe apo![emoji4][emoji4][emoji4]