HahahahaMuwe na usiku mwema kesho sijui tutaongelea nini ni hapo nitakapoonyeshwa maono ya kuongelea kitu cha kesho
.Kisirani ni kibaya sana unaweza usijijue una hii tabia ila ukiambiwa na watu wako wa karibu jitahidi kubadilika
We mzee unacheka nini subiria maono ya leoHahahaha
AminaaKisirani ni hali ya mtu kuanzisha visa vinavyopelekea mfarakano baina yake na mtu mwingine ambaye anaweza kuwa mke, mume, mpenzi au rafiki.
AmeeenLeo tulikuwa tunaongelea kisirani ukijijua una
hii tabia badilika yaani badikika utakuwa unagombana na kila mtu kwenye mahusiano
Hahahaha, mie hucheka muda wote , umeleta hayo maono?We mzee unacheka nini subiria maono ya leo
Ndio nimeoteshwa hapa naandikaHahahaha, mie hucheka muda wote , umeleta hayo maono?