Makapuku Forum

Makapuku Forum

Binamu namba ngap unacheza uwanjan?

...binamu, mbona umeuliza kana kwamba una mashaka na statement yangu kuwa nimeumia mguu kwenye mechi za maveteran?!! Umenipa mawazo mabaya sana, najiuliza nashindwa kuelewa sababu ya wewe kunidoubt kwamba sichezagi mpira.

Kifupi kabisa, mimi nacheza kama kiungo, wakati nimefika mjini nilikuwa na jezi yangu ya Ujerumani kwa hiyo nikawa naitwa mjerumani, uliza Tabata shule, niliwahi kupiga shuti kali hadi likaenda kuingia kituo cha polisi.
Baadaye nikahamia hapa Mtwara sasa, nilipiga soka kubwa sana, nikapewa jina Essien, na kuzawadiwa mashamba ya korosho, yaani wananchi walikuwa wanakusanyana kuja kulimia mikorosho ili tu nicheze tiimu ya Masasi Starz.

Sasa nimekuwa mtu mzima, nacheza ili kupata appetite ya bia na supu na kupunguza kitambi

Nadhani nimekuelewesha vya kutosha.

ila umeniuliza kimashakamashaka sana, nitapenda uniombe radhi maana nafikiria umeungana na anko Lee kutaka kunizushia kashfa ambayo ninaitarajia kutoka kwenu.

na ninawaambia mashabiki wangu wa soka kuwa wapuuze aina yoyote ya taarifa kutoka kwenu.

Ninaandika mengi sababu ninajihami, a game knows a game
 
Binamu Mjeruman, hujawahi shindwa kitu binamu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom