Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Ni wivuuuu tuuuUmemaliza kudeka? Baharia kudeka ni aibu ya mwaka!
Ni wivuuuu tuuuUmemaliza kudeka? Baharia kudeka ni aibu ya mwaka!
Waachie vijana, wanaotaka kuoa...ukioa hukatazwi kutongoza. Ni necha
Karibu sana mdau, umepotea utasema umekimbia na hela za korosho.
Great to see you
Ndio kiongozi, umeshatoka polini?Chief
Waachie vijana, wanaotaka kuoa
Natafuta dawa ya huyu mdudu, anazuia watoto wasiende shule
Hahaha, kiongozi Obe, ubaya haushindwi kwa ubaya, bali ubaya unashindwa kwa wema....vijana wanatembea na wake zetu nasi tunatembea na mademu zao.
Na kama ni wanandoa inakuaje?Dawa ya huyu mdudu ni kuhakikisha leo umemsalimia jirani yako na kutabasamu bila kushikana mikono
Salama, za huko uliko?
Mkuu...
Tunakupendaaa..Habari ya Leo ndugu zangu
Nmepita kuwasalimia nawapenda mno
Asante anko, nawe pia Pasaka NjemaPasaka naamini imekuwa njema kwa wanafamilia wote