Sasa unataka aitoee kwakoo auKuwa mpole Mkuu, ni kweli nimetumwa na aunt, yaani mamake na binamu Shunie. Aunt nae, eti anataka binamu aje kuishi kwangu kwa muda manake kule mtaani kwao kuna majirani wawili wana coronavirus!
Sawa, lakini ubinamu ni wa enzi na enzi... una lingine?Binamu lee wa miaka na miaka jamani
We mtoto wewe!! Hata wa kukupa salamu hayupo wakati binamu yako nipo kila ulipo!!Binamu utaniharibia ndoa na uzee hata wa kunipa salaam sina
Buguruni hawezi kuishi wakati kakulia kwetu Temeke Mikoroshini, na huko ndiko alikoujulia utamu wa binamu ambao hauishi hamu!! Huyo ni wako akiwa kwako akija kwa aunt ake lazima akumbushie utamu wa binamu! Pole sana... binamu hapewi talaka!Sasa unataka aitoee kwakoo au
Bugurun hawez kuishiii mtotot mlitooo cheupee wanguu
Umemwambia lakini kwamba mi ni binamu yako?!Binamu lee mume wangu ujue
😂😂😂😂😂😂😂Umemwambia lakini kwamba mi ni binamu yako?!
Sawa binamu wake ShunieBuguruni hawezi kuishi wakati kakulia kwetu Temeke Mikoroshini, na huko ndiko alikoujulia utamu wa binamu ambao hauishi hamu!! Huyo ni wako akiwa kwako akija kwa aunt ake lazima akumbushie utamu wa binamu! Pole sana... binamu hapewi talaka!
Kipaumbele changu siyo kibonge bali ni kuwa family friend wenuBahariaa vipii kibonge
Kaushaaa bhasiii mzeeeKipaumbele changu siyo kibonge bali ni kuwa family friend wenu
Sasa jamani simu inahusiana na nini tena natumia tecno spark ila nimeona watu wengi wanalalamika kama mimiSimu gani ?
Mmmmh na wenye iphone max sijui mnapata hiyo shidaa ?Sasa jamani simu inahusiana na nini tena natumia tecno spark ila nimeona watu wengi wanalalamika kama mimi
Babe unataka kumpa baba wawili ya kusema ujue haya mambo unatakiwa uniambie tukiwa wenyeweUwe unamalizia wa lee kabisa ili wale wa asbh wakose cha kusema
Namuonaa binamu kaja kwa kasiBinamu chige jamani niko na mume
Huyu Kijana namjuaga mwenyewe huyu, binafsi nishamshindwa! Haya sasa ndugu yangu Kataskopos, hebu ukuje huku umjuze mpwa ako Shunie... una kimeo cha Finca, Bayport, Tala au vimeo vyetu vile vinavyoanzia PM na kuhitimishwa mtaani?!
Kwani mpaka nikwambiee huwez kutoa moyoniBabe unataka kumpa baba wawili ya kusema ujue haya mambo unatakiwa uniambie tukiwa wenyewe
Binamu ila juwa sitaachika hataWe mtoto wewe!! Hata wa kukupa salamu hayupo wakati binamu yako nipo kila ulipo!!