Salama ndugu yangu, vipi hali?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nitamuuaje jamani baba wawiliUtamuuwa huyu mzee, shauri yako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Usicheke kuna watu wanaletaa utani kwenye mali ya mtu
Acha nikupende tu [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Kuna kizuri chenye uzuri wa kushare ila sio huyu mrembo wangu
Nani anabisha kwaniKeshoo kifuaniii nadekezwaa huku nawashushiaaa nondooooo...mtaombaa poooooo
[emoji7][emoji8][emoji8][emoji8]Mjombaaa niongezeeee vibeeee au panatoshaaaa...angalia amepiga saa ngap alafu nikikufundishaa mapenz kusikilizana na kubembelezana unalialiaaView attachment 1380079
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Niwachie baby wanguKama amekupigia Shuny, ongeza vibe tu, huyo sie hatumtambui
Sie tunamjua Shunnie na sio Shuny huyo sijui ni mchina?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukimuita hvyo mwenzio anatembea kifua mbele kama kapigwa ngumi ya mgongo..
Usirudie kumuita tena hvyo.
Makopa yasave kwa mtoto mlito shuny ningendako hivi nimepatia hiyo shuny eeh?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]huyu Shuny hatumtambui sie, labda ni mpya,, mjombaa wangu yupo vizuri a.k.a nyumba nyingi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila shunie wetu sidhani Kama anajua Kuna shunny..au wasemaje mjomba ake lee
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili halitambui,ngoja aje hapa, atamuwashia moto sio wa kitoto[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haya tumsubiri bibie..atakaposema anamjua sura zetu tutaziweka wapi sisi[emoji848][emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha binamu.......anko, hiyo 47k alisahau kunitumia ya kutolea lakini nakushukuru uliniassist vilivyo.
Halafu hizi mambo nilijua utafanya kama tulivyokubaliana. Au binamu ningendako kakuchukiza kwa alivyokuzunguka kwa lile toto shombe la kichaga?
Woooooooiiiiiiiiiiiiiiiiiiii wacha tupendaneeeeeeeeeAcha nikupende tu [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Wabaya wetu...Nani anabisha kwani
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8]
Jana kilichokupataa poleee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha binamu..
Habari ya uzima binamu? Kwema nyumbani?
Mjomba sio anko lakini
Kwema kamanda.