Makapuku Forum

Makapuku Forum

Stress zinakujaaa anko Obe kwanza kampiga kizinga cha elfu 47 asubh kumbe ndo pesa yake imetumikaa kuanziaa mchemsho mpaka gharama za gest...apa hana ata elfu 16 japo elfu 4 mia tano anaweza kuwa nayo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiyaaaa..ana haki ya kuwa na stress..hivi ule wimbo wa wanaume tumeumbwa matesooo aliuimba Nani vile?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Stress zinakujaaa anko Obe kwanza kampiga kizinga cha elfu 47 asubh kumbe ndo pesa yake imetumikaa kuanziaa mchemsho mpaka gharama za gest...apa hana ata elfu 16 japo elfu 4 mia tano anaweza kuwa nayo

.....anko, hiyo 47k alisahau kunitumia ya kutolea lakini nakushukuru uliniassist vilivyo.

Halafu hizi mambo nilijua utafanya kama tulivyokubaliana. Au binamu ningendako kakuchukiza kwa alivyokuzunguka kwa lile toto shombe la kichaga?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] muonee huruma ankali wa Lee mwenzio hana pa kulala leo..walau nenda nae kwenye maombi ya mnyororo

Sent using Jamii Forums mobile app

......anaongopa, anko wangu kabla hajahamia Sinza tokea ninapoishi alikuwa anaitwa Mr Nyumbanyingi Ngengemkeni. Jina hili halijawahi kutokea.

Shunie nakusalimia aunt yangu
 
Back
Top Bottom