Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,278
- 35,639
Mpendwaaaa.... yaaani mahakamani ndio umependeza hivyo?!
Kuna wanawake kule ujue
Sent using Jamii Forums mobile app
....siku zote, mahakamani ukienda usiende mchafu au rafurafu, unaweza kuongezewa adhabu kutokana na ulivyovaa.
Anko wangu Lee faini ya kufumaniwa ilikuwadoubled sababu alienda kavaa Oshkosh
