Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
BabyMbona huu mwandiko wa ndg yangu sakayo [emoji848]
Na husna muba[emoji4][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mxieww nife na Obe nimuache na nani
Sent using Jamii Forums mobile app
....nataka kuweka makopakopa, anayejua anifundishe
Blue MondayKumekucha swalamaaaaa....tuwe na mwanzo mwema wa wiki na mwezi ...
[emoji2][emoji2][emoji2]halafu nikipigwa je?!Husna nasubiria bomu lingine kutoka kwako![emoji23][emoji23][emoji23]
Khaaa...!!! Kumbe anaitwa chura!Hahaha kaka chura mie nyuzi zote zenye comments mob nazifahamu aki
Karma
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]na nyie muache kutuvurugaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mniwacheeee
...akifa sio kitu atakuwa amekufa na upako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aende kwa mwamposa anakanyaga mafuta anasukumwa na watu anakufwa
Mpendwaaaa.... yaaani mahakamani ndio umependeza hivyo?!Jtatu ya mwezi March mambo matatu matatu na hainizuii kukutakia siku na wiki Njema.
Wikend yangu ilikuwa njema sana, asante kwa kutouliza, nilikuwa na my Telemundo tumeenjoy sana, atawaambia akijisikia.
Wengine wote nataka kusema jambo moja kubwa, Ninyi ni Sababu Jukwaa hili ni zuri kuwepo.
Asubuhi njema, nnaenda mahakamani
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji179][emoji179][emoji179][emoji176]Kama haya?!?....nataka kuweka makopakopa, anayejua anifundishe
Baadae ukipata muda uweke ule wimbo African stars "wanatwanga pepeta" unaoitwa "jirani"....wageni nawasalimia na ninawauliza Je Kuna Jipya?