Imekuuumaaa
Happy birthdayNdugu zangu, jana feb 25, Mwenyezi Mungu ameniongezea mwaka mwingine.
Natoa shukrani za dhati kwake kwa mwaka mwingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubariiiiiiiiiiii
Ndo maana nakunywaa kahawa
Na savannah inaongezaa nini
Sijambo moud habari yako
Mkuu umepotea sana
Ndugu zangu, jana feb 25, Mwenyezi Mungu ameniongezea mwaka mwingine.
Natoa shukrani za dhati kwake kwa mwaka mwingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwemaaa chiefHabari ndugu zanguni!
Baharia naona upo home!(makapuku forum)Kwemaaa chief
Unamaliziaa upo home na mtoto mlito shunie au unanisahaurishaBaharia naona upo home!(makapuku forum)
Hakuna kama home!(makapuku forum).Home pamekupa vitamu vya kila aina na kwa kila ladha!Unamaliziaa upo home na mtoto mlito shunie au unanisahaurisha
Hujakoseaaa karibuuu sanaaaHakuna kama home!(makapuku forum).Home pamekupa vitamu vya kila aina na kwa kila ladha!