Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
HongeraNdugu zangu, jana feb 25, Mwenyezi Mungu ameniongezea mwaka mwingine.
Natoa shukrani za dhati kwake kwa mwaka mwingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeuaaahappy belated birthday wishes kwako mdau. Umeongeza mwaka mwingine mzuri na mwaka huu mpya uwe ni mzuri kwako na wote walio karibu/mbali yako
HAPPY BIRTHDAY moudgulf
happy belated birthday wishes kwako mdau. Umeongeza mwaka mwingine mzuri na mwaka huu mpya uwe ni mzuri kwako na wote walio karibu/mbali yako
HAPPY BIRTHDAY moudgulf