Aunt yako anasema wewe ni bahiliiiiiii....pesa huwa natuma sasa sema wengi hawatumii EMO na shirika la posta hawafungui jpili.
Mfano ikitokea umepata dharula na una shida ya pesa fanya Fasta kuniandikia simu ya barua, telegram then nitakujibu kwa TMO
Kuna mpira umepigwaa kama playstation ila kesho nalipaaaaaaaNimeangalia jf kwenye jukwaa la sports
Huyu mjomba mjomba huyuHa ahahhahaha. Yaani utasema kapigwa ngumi ya mgongo kifua mbele sana
Naona baada ya kupata nilichofaidiii leo kwenye kikao mmeamua kunishambuliaaHuyu mjomba mjomba huyu
Umepigwa na Luis au hahahaKuna mpira umepigwaa kama playstation ila kesho nalipaaaaaaa
Kuhusu mjomba Lee huyu hanipi shida kabsa, najua jinsi ya kumuacha anazubaa na asipate kitu....kuwa makini Lee ni ndugu yetu lakini hajali kabisa undugu kwenye mambo ya kimwili.
Ukiweza shemeji mfungie cctv mapajani kwenda juu. Hii itakomesha hila zote za anko
Hii technology mjomba haiwez ....hivi kwani kuna ubaya ?
...duh, acha tu binamu, ile namba naipiga si anapokea Gigymafweza.! Mjombaangu si mtu makini kabisa lakini nitafanyaje sasa nililenga mwezi nikapiga nyota.
EwaaaaaaaaaaaahUmepigwa na Luis au hahaha
Hahahaha shunie hulali tuMmh baba wawili ebu acha kuwasingizia watoto wako wa kudownload
Hapo unataka kunichonganisha na aunt yako wakati leo nishapewa makopa na nasubiriwa kifuan...kwa wewe anko hakuna ubaya, kizuri kula na nduguyo ila kwa kuwa wewe ni mlafi anko hupendi kabisa kushare
Unasahau ulichofanyiwa jana usku wa kuanzia saa tano na dk 15 ...tukio nmelipata kwenye gallery ya binti kisura wakkooo
Ankooo fileew lakeee ninaloooooooooodah Gigymafweza
Umezidi kututesa mjomba, hatupumui, unamiliki dimba la kati kaa RonadihnoNaona baada ya kupata nilichofaidiii leo kwenye kikao mmeamua kunishambuliaa
Hapana usinichanganyee na mtoto wa dadakooo ujueee ........ulisikia vibaya anko, sikuwa mimi. Kama nilikuona vile wewe legend umekula kobisi unatafuna kashata na alkasusi mkiwa na Ebitoke
Hahahah ngoja nitumie VRA kumzoom binamuAnkooo fileew lakeee ninalooooooooooView attachment 1366669
@shunie ndo namiliki kiharaliiiiiiiiii wengine ni kama ww na ankooooUmezidi kututesa mjomba, hatupumui, unamiliki dimba la kati kaa Ronadihno
Aunt yako anasema wewe ni bahiliiiiiii
Wewe unaweza sema sio yy nishakujuaaa hasira zakoHahahah ngoja nitumie VRA kumzoom binamu