Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
Waongoooo wakubwaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wala mdudu hawataelewa kabisa watasema acha wapate hiyo sarataniView attachment 1364086
Waongoooo wakubwaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wala mdudu hawataelewa kabisa watasema acha wapate hiyo sarataniView attachment 1364086
Ebu nipigie video kolu niangalie huba [emoji847]Mmmmmmh
Unao wengi bwana nijimwambafy hapaBaby ake lee uwe unamalizia
Sema kweli jamaniWewe ni mcute ..mremboo potable unayefanya diet manake hupend ubongee ....[emoji4][emoji4][emoji4]
Kweli jamani kariakoo elf 3000 hizo[emoji23][emoji23][emoji23]
Najua hamuwezi kukubaliWaongoooo wakubwaa
Hao ni bitoz na nyagei[emoji23][emoji23]Nimekutana na Makapuku wenzetu! Kwa kweli wanawasalimia sanaView attachment 1363848
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niwacheeeeeeEbu nipigie video kolu niangalie huba [emoji847]
Duuu!! Labda matilio tofautiHivi hizi si yeboyebo za elf 3000 [emoji1787][emoji1787]View attachment 1364064View attachment 1364065
Wangapiii watajee hapa ? Mm niko ma wewe mmoja mcute wangu nayekumis hatarUnao wengi bwana nijimwambafy hapa
Tena mpaka buku 2 mia tanoKweli jamani kariakoo elf 3000 hizo
Mh kwanza nnavomuogopa khaaKagika hao wanawake mimi wanitoeView attachment 1364070
Shemuuu
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]binamu huyu mimi kabsa
[emoji2][emoji2]View attachment 1364523
Anko, ujue undugu wetu utadhihirika soon. Ile kesi yako ya kuomba rushwa ya ngono kwa makubaliano ,dhamana yake uliwekewa na ningendako au ?