Kwahiyo unapingana na mimi ninayesema uhalisia wanguNimepiga ramli hapa Mkata, mizimu inanambia wewe sio Chibonge, sio mweusi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio shangaz
MmmmmmhYupi sasa tatizo unao wengi
Ngoja anko aoneeHapana aisee sijafikia kuwa mtakatifu hivyo yaani kosa lake niombe msamaha mimi shunie mimi
Baby ake lee uwe unamaliziaJe wajua inakujia na shunie shunie kibongecheusi mangala mtoto mlito
Wewe ni mcute ..mremboo potable unayefanya diet manake hupend ubongee ....Kwahiyo unapingana na mimi ninayesema uhalisia wangu





