Hahahaha kwa mjomba bado sijafika hata robo shunieUwe vipi sasa na umeshakuwa kama mjomba wako
....wife, usiwasikilize hawa, hivi ukiwa mke wa pili ndo sababu ya wao kukupa maneno ya presha!?
Nimetoa mfano tu wala sio kweli.
Basi wengine wataamini kumbe hii mke wa pili ni mfano tu
Acha tu yatiririke hata Kama mvua ya El-nino sijaliJameni, ujue wewe ndo tegemeo langu. Unapaswa kuwa wa mwisho kuniumiza moyo. Nimesikitika sana hadi nguvu zimeniishia.
Machozi yanatiririka kama mvua za vuli bila mwamvuli nahisi nitasombwa na upepo wa kusulisuli
Binamu anikosee nimwombe msamaha mimi
Mnaanza kutupiana mipiraMaria ni wako usiniletee kesiiii...mm hapa nimebakiza ttcl tu na hana sasa ukimpa umenunuaa kesiiii
Hahahaha hapana jirani ni yule jirani yetu mtaa wa pili ndo kaniandikiaJirani, ni wewe umeandika haya