ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,922
- 13,817
Kwa niniEbu ngoja niongeze
Salama jirani?
Nipo mtoto mlito, uzima upo?Baba wawili nakuona mie
Nyie si mnavunaga supermaket ?
Sijui yupo na Telemundo wakeBaba wawili nakuona mie
naona ana like tu
Polee sanaMkuu huko supermarket wenyewe akina Shunie Mimi zangu Gengeni kwa Mpemba na yeye anachukua Mzigo Mabibo sokoni! Pale Mabibo mzigo hutoka mikoani! Acha utani wahamasishe wakulima kaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi notifications zimegomaa
Asante nimefurahi pia
Coment kaikati ya walio achwa kimya kimya.....sisi wazee tunaoachwa tunacomment wapi? Maana dalili zote za mimi kuachika naziona
Huku kwetu jua linawaka hasaNawasalimu sana waheshimiwa wa humu! Wale Dsm tunamshkuru kwa Mvua rasha rasha ambayo tumeamka nayo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh hili wazo lako ni mhimu kulitimiza bila hela ya bajaji
ChikamoooSalama jirani?
Habari ni nzuri dearHabar ya tanzania kwanza
Leo katika kuwepo hapa jukwaani nimegundua upendo haupo miongoni mwa nilio waacha wakiwa na mapenzi ya ukweli
Nashukuru mkuuHabari ni nzuri dear