Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,324
- 35,831
......ni yule mwenyewe kabisa ambaye moyo wangu upo kwake.
Mwenzenu mgonjwa hebu msiniulize maswali ambayo majibu yake yatanisumbua kujibu
Kabadili, nimeongea na Nida waulizeHujanijibu ...ile namba haipatikani[emoji4][emoji4]
Njema tuu kakaake , nimefurahi kukuona...Marhaba dadake habar za siku tele
Machao yangu yameona mengi leo kumbe kuna vijana wanaachwa bila kuambiwa wameachwa
[emoji28][emoji28]mbona una kusudi hivo ,?? nimekujibu na ukalike kabisa [emoji57]Hujanijibu ...ile namba haipatikani[emoji4][emoji4]
Mmmmhhh... Umenifedhehesha kwakweli [emoji2955] na ndo nshakuacha hivooo [emoji16]Pole dear. Maneno uliyoyasikia hayakutoka kwangu.
Huyu anayesemwa ni dada yangu sio wa kiukoo.
Kuna watu wanataka kutugombanisha na ukiniacha utawapa ushindi mkubwa
[emoji23][emoji23]pata tu maana namimi niliipata hiyo pressure nikapepelewa na wasamaria wema ikaisha...Utanipa pressure wewe mtoto
Usisingizie ugonjwa hapa... [emoji849]......ni yule mwenyewe kabisa ambaye moyo wangu upo kwake.
Mwenzenu mgonjwa hebu msiniulize maswali ambayo majibu yake yatanisumbua kujibu
Wacha wee mtu na dadaake......ukimsikiza anko wangu utaniacha bila sababu
Sijaonaaaaa[emoji28][emoji28]mbona una kusudi hivo ,?? nimekujibu na ukalike kabisa [emoji57]
Sent using Jamii Forums mobile app
Swalama kabisaa....naona leo umegonganishaa wamekutana kwenye daladalaPole dear. Maneno uliyoyasikia hayakutoka kwangu.
Huyu anayesemwa ni dada yangu sio wa kiukoo.
Kuna watu wanataka kutugombanisha na ukiniacha utawapa ushindi mkubwa
Mmmmhhh... Umenifedhehesha kwakweli [emoji2955] na ndo nshakuacha hivooo [emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilijuaa make jina lilikuwa linasomeka la ukoo kabisaKabadili, nimeongea na Nida waulize
Kabisaaaa
Upoo grocery mbonaJipe muda darling. Muda huu niko hospital nnaumwa, ukiniacha basi ndo ntapata corona kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo ukomeeee[emoji23][emoji23]pata tu maana namimi niliipata hiyo pressure nikapepelewa na wasamaria wema ikaisha...
Sent using Jamii Forums mobile app
Swalama kabisaa....naona leo umegonganishaa wamekutana kwenye daladala
Upoo grocery mbona
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anko, hili nalo litapita tu. Niko kwenye kampeni ya kuzuia nzige kwa sasa.
Hili daladala bora lipate corona tusishuke wote tukae tujadili yaishe maana Ibrahim alikuwa na masuria ya kumwaga ugomvi haukusikika kabisa