ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,947
- 13,864
Bahati mbaya obe yupo lindi na fatuma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakupaa tu taarifa
Muoneee
Nafurahi kusikia hivyo Vinci karibu jukwaaniVinci yuko poa mtoto mlito...
Eenh kushare share siwezi kwakweli[emoji23][emoji23][emoji23]naona anavyong'ang'ana akati ulisema una moyo wa plastic
Sent using Jamii Forums mobile app
Roho inakuuma ...ndo ashakuja mwenye mali yake
Mmh si ulikuwa nayo miwiliMimi niko poa na mm nilipata ofa ya mwamvuli kama nilijua tu kuwa itanyesha leo
Wacha weeeh na nani sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wa pili uliendaaa wapi sasaMmh si ulikuwa nayo miwili
Yapi tena hayoYa kweli hayo
Manini hayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yafwanywayooo
ZimefikaAhsante sana... msalimie Crush Sakayo
Leo iwe zamu yangu kuja kukuona na uniandikee hapa asante baby kwa kuja au nishachelewa ?[emoji4][emoji4][emoji4]Eenh kushare share siwezi kwakweli
Najuaa bhsiiii?Manini hayo
Mimi najuaje nilichukua mdogo nikaacha mkubwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wa pili uliendaaa wapi sasa