Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Kumbe mpendwa obe ana msururu nao deiziKama kuumia tunaumia sote wala usijali ila msema ukweli ni mpenzi wa Allah
Ila swalama kabisa....vipi yule cha kudeka mtoto wa singidaa umemuachia nauli au kesho kesi?
Ka hahahahhaa. Singida tena, kumbe alikujulisha, ila anko mbona unakuwa unaweka kauzibe sana ndugu yangu. Maneno yale uliyomwambia nami nikisema nimwambie aunt tutafika kweli?
Atamuachia nani eti jamani
Karibu tena
Apumzike kwa amaniKwa wapenzi wa midundo ya South Africa mtakuwa mmesikia kuhusu kifo cha nguli aliyetamba miaka ya 70-80 akiwa mwanzilishi wa kundi la Ladysmith Black Mabanzo.
Nimeumia sana maana kama na wewe ni kijana mwenye mamboya kupenda miziki ya miaka ya 70s basi utakuwa unamfahamu huyu Joseph Tshabalala.
Apumzike kwa amani na fyi, kutokana na kazi yake nzuri kundi lake limefanikiwa kutwaa tuzo 5 za Grammy.
Pumzika mzee mzima Shabalala
View attachment 1354865
HahahaahSaa itakuwaje na mfipa je?
AiseeeAmuuuu hiyaaaaaa
Hahahaha.....hapa sasa ndo unapoanza kunijazia watu. Mama mwenyewe akija hapa unadhani itakuwaje?
Ngoja nijitoe nisije pigwa buree... Maana hadi rangi mnafanana na baby mama wako...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa majina naitwaa fundiiiii wa majiNjo ukutane na wiii mana yeye ndio anashinda sijui utajitambulishaje
Umemmis hatariiii...
Mwanaisha wa kiburuger