Kama hujambo ndo furaha yetu moyoniMimi sijambo
Mzeee shikamoo
Shikamoo mzee mwenzangu. Mvua hizi naona unakazana kwenye migomba tu mzee mwenzangu
Sijapotea binamu, si unajua Januari ilivyokuwa na makusudi. Yule mtoto wa kusingiziwa walimu wamempa barua aniletee nilipe ada, mama mwenye nyumba kaachika so kodi kanidai kama tra.Usipoteee hivi binamu
Mvua wapi uko binamu
Sent from my iPhone using Tapatalk
Hapana si hapo pembenKuku za Africa sana au
Namisiwaa liniAbeeeee
Nan kakuibiaShikamoo mzee mwenzangu. Mvua hizi naona unakazana kwenye migomba tu mzee mwenzangu
Hapana si hapo pemben
Si hapa Mtwara, yaani mvua inakunya hadi wenye vyoo vya nje tumeweka paa. Juzi mtu kachukuliwa na mafuriko. Yeye na choo
Nawatakia kuwajibika kwema wadau, ngoja nimtumikie kafiri
Much love
Mmh si usingepita kuniletea
Sent from my iPhone using Tapatalk





ningemwachia maria sijui nani yule wa kwetuShkamoo anko ake ShunieKama hujambo ndo furaha yetu moyoni
Nakuhamu ujueNamisiwaa lini
Usku huu wetuuNakuhamu ujue
WoyoooUsku huu wetuu