Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
Hahahahahahahahahahah apooo wachaaa niendelee kujipitishaaaEbu fanya basi kunilipi zote [emoji134][emoji134]nimewekewa wifi sijui ndio anilinde yaani
Hahahahahahahahahahah apooo wachaaa niendelee kujipitishaaaEbu fanya basi kunilipi zote [emoji134][emoji134]nimewekewa wifi sijui ndio anilinde yaani
Ebu ongeza kidogo hyo volyumu inaonekana ni tamu sana[emoji3][emoji3]...ninakupenda binamu na Heri ya 2020, maisha lazima yasonge. Unanielewa au niongeze volyumu?
Pole mtoto mlitoAsante sana baba wawili yaani nilikua napika huwa nikimaliza kupika nafunga gas kule kwenye mtungi nimeinama hivi nifunge naona chini ya jiko moto unawaka nilitaka kukimbia kwanza nikasema ebu ngoja nifunge gas kufunga gas moto ukawa unajizima taratibu sasa mpaka ukaisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Happy Wednesday good people
![]()
He he ndio vileHahahahahahahahahahah apooo wachaaa niendelee kujipitishaaa
Asante mama mpandishwa cheoPole mtoto mlito
WeweeeeeEbu ongeza kidogo hyo volyumu inaonekana ni tamu sana[emoji3][emoji3]
Badooo nawazaaa hapaa sijapataa jibuHe he ndio vile
Kuhusu nini tenaBadooo nawazaaa hapaa sijapataa jibu
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] wifiKuhusu nini tena
Na kwako piaaa binamuHappy furahiday wadau
Ndio hivyo ila kawaida tu nimeshajizoelea na ninaona vizuri tu maana nilikuwa mwenyewe tunaelewana na tumezoeana[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] wifi
Mke anauma asikuambie mtu