Mimi pia
Barikiwa sana
Nimesharudi ibadani, meombea watu wote na Taifa
Pole sana jamani!
Nimesharudi ibadani, meombea watu wote na Taifa
Mimi pia
Ulifanya kosa sana kunilima talaka saba
Mungu akupe hitaji la moyo wako. Pokea baraka tele kwa Imani.Mm nlitaka uniombee kivyangu coz shida zng ni tofauti na za Taifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikudanganya sana!
Alikudanganya sana!
Siku zote hakuna mtu anapenda kuona mwingine akiwa na amani!
Pole kwa hilo!
Pole kwa hilo!
Next time ujaribu kutulia ujishauri mwenyewe!
Sitaki huyo mwingine aumie kama mimi...
Mmmhhh
Ha ha ha ha aiseeHeshima nimeipokea binamu na kwa usito huu nakupa heshima yako mdau
Nilikuwa nnasheherekea kuzaliwa kwa my Telemundo. Nimekula keki na Tequila