Makapuku Forum

Makapuku Forum

Salama kabisa ...
Dstv na Azam [emoji134][emoji134][emoji134] yaani ikifikiaga hivi halafu nimefulia kama hivi nakukumbukaje sitaki ucheke sitaki kusemwa. [emoji85][emoji85][emoji85]

Halafu jana bado kidogo jiko lilinipukie naogopa hata kupika au kumwambia mdada apike nimetoka kumwita fundi hapa
 
Pole mtoto mlito, Mungu ni mwema kwa kweli
 
Asante sana baba wawili yaani nilikua napika huwa nikimaliza kupika nafunga gas kule kwenye mtungi nimeinama hivi nifunge naona chini ya jiko moto unawaka nilitaka kukimbia kwanza nikasema ebu ngoja nifunge gas kufunga gas moto ukawa unajizima taratibu sasa mpaka ukaisha
 
Aisee pole sana, hii mitungi ya gas ni kuwa nayo makini sana, mazoea hayatakiwi kabsa muda wowote hali inabadirika ni mabomu yale!!
 
Happy Wednesday good people

images
 
Dstv na Azam [emoji134][emoji134][emoji134] yaani ikifikiaga hivi halafu nimefulia kama hivi nakukumbukaje sitaki ucheke sitaki kusemwa. [emoji85][emoji85][emoji85]

Halafu jana bado kidogo jiko lilinipukie naogopa hata kupika au kumwambia mdada apike nimetoka kumwita fundi hapa
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] mwenyewe nimemis hayo majukum madogomadogo

Usinambiee sku hiz hutak kujisumbua kuosha vyombo umemletaa msaidizi wa 3[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ebu fanya basi kunilipi zote [emoji134][emoji134]nimewekewa wifi sijui ndio anilinde yaani
 
Back
Top Bottom