Aisee...
Aisee...
Uzima upo mtoto mlito?mtoto mwenye sifa zake kedekede

![]()
Uzima upo baba wawili za wewe apo naona watu mmelikimbia jukwaa


Mimi baba wawili kinachonitia uvivu humu naweza kuingia nipo peke yangu ndio maana naendaga kuzulula uko kwenye majukwaa mengine
Nafurahi kusikia kuwa ni mzima, uzima kwanza.. mengine ni ziada tu.
Wewe ndio unatukimbia, mtekaji amekurudishia nywila leo?
Aisee, pole sana..baada ya january kupita familia itarudi upya tena..Mimi baba wawili kinachonitia uvivu humu naweza kuingia nipo peke yangu ndio maana naendaga kuzulula uko kwenye majukwaa mengine
Hivi hapa nijibu mbaya au nzuriNiko apa habari ya wewe
Weeee nanua tecno 2 moja ya mchepuko
Sasa mimi nitajuaje jamaniHivi hapa nijibu mbaya au nzuri

Ebu nunua ya kwako na ya mchepukoWeeee nanua tecno 2 moja ya mchepuko