Nilikuwa nasubiri ile mida ya mambo ya kijani,,leo pia si muendelezo shunie? [emoji2]Baba wawili nakuona mimi ningendako unapita kimya kimya
Hahaha leo hakuna baba wawili bwanaNilikuwa nasubiri ile mida ya mambo ya kijani,,leo pia si muendelezo shunie? [emoji2]
Njema kabisaSijambo habari yako
AmenNasi pia tuna amani kuona uko salama
Ndio Mwana mpotevuKutokukuona ndio ugeni sasa
[emoji4][emoji4][emoji4]Nashkuru kwa kuwepo ila umekuwa kimya kama benk ya walimu wa Tanzania
Mbona nimetamani kufungwa ghafla yaan gereza zuri hivi!
Hahaha ebu acha utani mamyMbona nimetamani kufungwa ghafla yaan gereza zuri hivi!
Safi Moud
Umemisika
Halafu nina hamu na mtoto