Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Hahahahpunguza sauti,, binamu atasikia
Hahahahpunguza sauti,, binamu atasikia
Nalala muwe na usiku mwema
Usiku mwema pia shunie...Nalala muwe na usiku mwema

Sizai dadaHahahha kufyeka mpaka usiku dada nikusikie mambo ya kuzaa kabla ya kwaito
Jana na leoWapi sakayo , Nyagei ,shululu , tumosa, Lee
Na wengne wengi
Duuh dunia inakimbia sana mpoteano kama uchumi na somo la sayansi
Tupo kaka akeWapi sakayo , Nyagei ,shululu , tumosa, Lee
Na wengne wengi
Duuh dunia inakimbia sana mpoteano kama uchumi na somo la sayansi
HahahaHaha ngoja mtoto mlito Shunie akukaribishe na akuoneshe mitaa mbalimbali...kuwa na subira anakuja
Jambo mremboEeenh
Lini umeniona pande hiziUna ugeni ganiiii
Shiiii piga kimya nataka ning'oe mrembo hukuMwenyeji huyoooo
Hahaha nacheka kwa kindali na kinyakyusaNmemuona hapo juu, anawajuwa wote
Amen nimekuona japo tunapishana kama barabara na reliJana na leo
Familia zinalipwa halafu kuna mtu kwa uzembe wake alichelewa hiyo ndege, lazima mkewe akumuangalia anaumia sana
DuuhKasombwa na upepo wa kisulisuli
Nashkuru kwa kuwepo ila umekuwa kimya kama benk ya walimu wa TanzaniaTupo kaka ake
Wewe ndo unanikimbia sana mkuuAmen nimekuona japo tunapishana kama barabara na reli
Hapana siku hizi unakuta badhii ya nyuzi zinakosa mvuto wa kuchangia unakuta unaishia Ku like tuWewe ndo unanikimbia sana mkuu
Sawa kakaHapana siku hizi unakuta badhii ya nyuzi zinakosa mvuto wa kuchangia unakuta unaishia Ku like tu