Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Ex babe kwa wasiowajua sio kwangu mie huyo shem ni nani eti
Hutaki auuu....
Saivi ni x babe!! Nikija mjini nakuja na shem wako!
Halafu pasua kichwa wako ndio kimyaaa
Ex babe kwa wasiowajua sio kwangu mie huyo shem ni nani eti
Hutaki auuu....
Saivi ni x babe!! Nikija mjini nakuja na shem wako!
Mwenyewe dadaEbu uko
Mbona tulizikula zile rangi etiHahaha ebu nijibu basi ujue nimewaza sijapata jibu
Ex babe, niamini mimi jamani!!Ex babe kwa wasiowajua sio kwangu mie huyo shem ni nani eti
Halafu pasua kichwa wako ndio kimyaaa
Hahhaha pasua kichwa hajakufwa mbona text anasoma kunidanganya kuhusu ex babe wako sitaki kwa sababu ukweli naujua mimi bado mnapendanaEx babe, niamini mimi jamani!!
Utamjua tuu wala usijali!!
Pasua kichwa wangu mimi jamani sijui kakufwa me I don't understand!! Yaanii nakasirika mpaka nachoka
Najua hajakufwa, ila ananikomoa tuu!!Hahhaha pasua kichwa hajakufwa mbona text anasoma kunidanganya kuhusu ex babe wako sitaki kwa sababu ukweli naujua mimi bado mnapendana
Hata sasa hivi unampenda sana dada yaani sanaNajua hajakufwa, ila ananikomoa tuu!!
Ex babe wangu, nilimpenda zamani za ubuyu dada!! Saivi mmmhhh!
Sawa manara wanguHata sasa hivi unampenda sana dada yaani sana
Halafu nina hamu na mtoto
WoyooooHalafu nina hamu na mtoto
Siku hizi ushakuwa manara
Woyoooo
Mfipa uko wapi jamani ufanye mambo watu tutume diaper






Niko apa sijui mfipa wangu anakwama wapi jamani anikomeshee mtu
Nakuona auntie ake mtu...
Ngabu utaelewa vipi jamani wewe unachungulia na kusepaHumu hata huwa sielewi kinachoendelea!!