Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,050
Nasikia kitimoto inachoma office ya Kijiji*Nakula km kawa![]()
........
Nasikia kitimoto inachoma office ya Kijiji*Nakula km kawa![]()
........
Hupokei Mlungula?
Sasa hiyo nyumba yako utaimaliziaje na mshahara wako umepunguzwa!
nitakopa.Ha wewe ndo dada?kwani unataka kuninyima nini hadi ujitambulishe kama dada!!

Hizo kidogo sana.bado like 22 nimkute Ngedere ngabu
Kumbe shemeji pia unakula hii makitu.Uwiiiii
Hata iweje siachi ng'ooo![]()
![]()
Hakuna mjanja anayeshabikia simba...wajanja wa ukweli wote wako jangwani

hakika mkuu, punde si punde nitamshusha kwenye ile nafasiHizo kidogo sana.
Nachokoza tu.Aaah mkuu acha hizo, unapenda bifu
Aisee Jimena hebu soma hapa alafu uniambie dogo anataka nini?Hay huku jaman in come back your ......
Mbona tunakula nao hao ndugu zetu Waislamu.....kipindi cha Ramadhani ndio biashara inadodaNasikia kitimoto inachoma office ya Kijiji*
Mimi ndo TP.kuuuumbeee
Kwenye upande wa likes naona Jimena yuko juu sanabado like 22 nimkute Ngedere ngabu
Hiii kwan nimefanyajAisee Jimena hebu soma hapa alafu uniambie dogo anataka nini?
Si kila mwarabu ni muislamMbona tunakula nao hao ndugu zetu Waislamu.....kipindi cha Ramadhani ndio biashara inadoda
![]()
![]()
![]()
..........
Tunataka top 20 yote tuwe makapukuKwenye upande wa likes naona Jimena yuko juu sana