Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,234
- 68,269
Habari chiefNamfatuta police jamani.....!
Any kapuku pm me
Habari chiefNamfatuta police jamani.....!
Any kapuku pm me
ni safi saaaaanaIko njema sana kaka. Niaje kwako?
za siku mingi mzee?ni safi saaaaana
Unamuuliza nani vilee?jamani lizy yuko hapa?
Pouwa mkuu.....Habari chief
mwisho 5 duuuuh.Bila kusahau hapa nilipigania maslahi yenu
LIKES ZA KAPUKU MWISHO NI 5?
https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/15799464
Nigongeeni likes za nguvu mwanzo mwisho waungwana
...............
Mzima wewe?Morning fellaz![]()
![]()
![]()
AiseeMakapuku ninawazo ,kwanini hili kundi kubwa hivi lisiunde chama cha kusaidiana kama Saccos, yaani tukianza na 50,000 kila mtu kama ada ya kikundi ndani ya miaka 2..tunaweza kumiliki Treni yetu ya jiji la Dsm
![]()
![]()
Mawazo mazuri lakini.
na kwako piaJumapili iwe njema kwenu wote....
Mimi ni PT mkuu.Namfatuta police jamani.....!
Any kapuku pm me
Morning dear, how'r you?Mkuu vipi? Nikuje pm
Good morning![]()
![]()
![]()
ni kweli kabisa.Wote hao wapo, ila tatizo Mitazamo tunatofautiana.
Karibu Kijiweni braza.Pamoja sana kiongozi
I'm fine love.....Morning dear, how'r you?
Pt ndio Nini mkuu....Mimi ni PT mkuu.
Ushaona eeh??ni kweli kabisa.

mmmmmh.Lakini vipi mkuu,, wakati humu tumetimia, kuna Bankers,wanasheria, police, wa chumi nk, tukiamua tunaweza
Tuko pamoja sana kaka.njema sana
Suala hilo ni gumu sana kufanyika, kuna watu humu ni Mazambiq.mmmmmh.